Sunday, July 7, 2013

Filled Under:

HAKI KATI YA MME NA MKE KATIKA NDOA

KUJUA haki kati ya mme na mke, haki ya mjane katika mirathi, wajibu wa baba wa nyumba, wosia sahihi kisheria, ugawaji mirathi kisheria, haki kwa mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa/mtoto wa kambo, na mambo mengi yanayofanana na hayo tafuta kitabu hicho hapo juu. kinapatikana bookshop karibia zote Tanzania, utakikutak ama kilivyo hapo kwenye picha. kwa mawasiliano piga 0767 154141. karibuni sana.

1 comments:

  1. Ilishapendekezwa kwamba, sheria za Tanzania ziandikwe kwa lugha zote mbili, kiswahili na kiingereza. hii ingesaidia watu wasiokuwa wanasheria kufahamu walau haki za msingi hata kama kwa uchache, kwani lugha ya Kiingereza imekuwa kikwazo kwa wengi kusoma vitabu vya sheria. nafasi ya uelewa wamepewa wanasheria tu (waliosoma shahad aya sheria chuo kikuu) ambao wanasoma na kujua kiingereza. kitabu hiki hapa juu kimefafanua baadhi ya sheria zinazosumbua sana watu wa kawaida, na kimeandikwa kwa lugha nyepesi kumsaidia yule asiye mwanasheria kuelewa kwa urahisi. tuwasiliane kwa 0767 154141

    ReplyDelete